@leymar_tz_urembo
Hellow Maboss zangu
Tumewaletea Newstock ya Hairband🥳
Hizi hairband anaweza kuvaa mtoto na mtu mzima hazichagua umri,pia zipo katika aina tofaut tofauti kuna ambazo zinakuwa na kitie na ambazo zipo plain,na zipo ambazo unaweza kuvaa katika event mbali mbali sababu ya mionekano yake maana zipo zenye stones ambazo na faa kwa usiku na nyingine nyingi
Hairband moja 5000/=
Jumla 3500/= kwanzia hairband 6
Tunafanya delivery,tunatuma mikoa yote Tz bila kusahau nchi jiran pia tunatuma 🚚
Tunapatikana kariakoo kituo cha Kongo
Number za Oder na Maulizo
0754555993
0657103950