@halimacollectiontz
Kuna watu hawana uvumilivu kabisa akitumia products siku 2 tu anataka apate matokeo hivyo lazima tu aishie kati na kujikuta anapata hasara ya kubadilisha products kila siku🙌🏻
Uvumilivu unahitajika jamn hili tupate matokeo tuliyokusudia😘