@zeromoja_
DOUBLE GLOVE
Ni kwa ajili ya kushikia vitu vya moto jikoni
Ni nzito sana....haipitishi joto
20,000/=
Pia zipo
POTHOLDERS
Kukalishia sufuria za moto baada ya kuipua ili tusiharibu marble/Meza ya chakula ama ya jikoni
Set zinakua 5...20,000/=
πTunapatikana mbezibeach chini Bara Bara ya Mwai Kibaki Karibu na sheli ya Oryx, Opposite Mbezibeach primary school
#handwovenrugs
#bed #bath #kitchen
#bedsheets #pillows #softblankets
#bathtowels #bathsheets #bathrobes#towels
#kitchengloves #kitchentowels #fruitbasket #tablecloths
#mashuka
#taulo #mito #facetowels #kidsbathrobes