@kariakoo_vyombo_collection
jiko la gesi là plate nne linakuwa na stendi yake ambayo iina partition mbili za kuekea vitu vya jikoni unaikosaje hii boss wangu karibh tupendezeshe jiko lako .TUPO KWA AJILI YAKO
275000
#0674436040
POPOTE TUNATUMA MPAKA NJE YA TANZANIA