takeer.com

Takeer

Play
Mute
takeer.com
@max1_limited
Hapa ni kiwanda cha vyoo vyakuficha matanki (wallhang toilets) tukiendelea kujihakikishia ubora wa bidhaa uliotukuka.

Hatutanii bali tumedhamilia kukupatia kilicho bora kwa gharama nafuu na kamwe hutojuta ukifanya maamuzi yakununua bidhaa zetu kwasababu:- Tunapunguza usumbufu kwakufanya delivery 🚚 popote Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na nje ya nchi, tuna warantii wa bidhaa zetu na tuna garantii yakukupa huduma baada ya manunuzi (after sale service) wapi utapata huduma kama hii?????!!!! ni @max1_limited pekee 0658313332

Tupo Kariakoo Gerezani mtaa wa Kiungani na Congo bango kubwa limeandikwa MAX ONE LIMITED hakikisha bango limeandikwa jina la kampuni yetu na hapo utakuwa upo mikono salama.
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
Play