@max1_limited
Muonekano huu wa choo ni kutoka @max1_limited, ulitangulizwa kwa imani na boss wetu Madam Stella. Tulimpatia vifaa vifuatavyo:
- Choo (wall hang) 850,000 grade one
- Cabinet sink 100cm (marble) 900,000
- Shower mixer 375,000
- Towel hanger. 45,000
- Soap dispenser 35,000
- Modern glass holder 35,000
- Paper holder heavy 25,000
- Brush holder 20,000
- Strainer 20,000
- Shampoo holder heavy 35000
- Shataff 35,000
- Angle valve 10,000
- Heater 340,000
hivi vitu vyote ni havipati kutu wala kufubaa
Delivery tulifanya wenyewe, na mafundi wetu walihusika kwa asilimia 90 kufitisha mpaka kufikia huu muonekano. Nawewe bado hujachelewa!
@max1_limited@max1_limited
Wasiliana nasi kupitia:
Simu/WhatsApp: 0658 313 332 / 0628 552 442
Tupo Kariakoo, Gerezani, mtaa wa Kiungani na Congo