@max1_limited
Nyumba ni choo ile kauli inajidhihirisha hapa katika hiki choo kutoka Max One
Je, unatafuta choo cha kisasa chenye ubora wa hali ya juu? Hiki hapa! Choo chetu kina mfumo wa ku-flush maji kwa kasi na kinatumia maji machache, hivyo kinakusaidia kuokoa maji bila kuathiri utendaji wake. ππ§
β
**Ubora Usio Pauka:** Kimechomwa kwenye nyuzi joto za juu sana kuhakikisha hakipauki na kinadumu kwa muda mrefu.
π§ **Finishing Bora:** Kimefanyiwa finishing kwa ubora wa hali ya juu, kinacholeta muonekano wa kuvutia katika bafuni yako.
βοΈ 0658313332 whatsapp
π± 0628552442 π
@max1_limited @max1_limited
π Pata Hiki na Vingine Vyote Hapa Max One! Tupo Kariakoo, Gerezani, Mtaa wa Kiungani na Congo. Tunafanya delivery popote ulipo Tanzania nzima! ππ
Jipe faraja na starehe ya kutumia choo cha kisasa na cha kudumu! π
#ModernToilet #BathroomUpgrade #HomeImprovements #EcoFriendlyLiving #LuxuryBath #Maxone