takeer.com

Takeer

Takeer - LED mirror 🪞 inakupa mwanga unaoufanya uso wako uonekane katika uhalisia wake, hivyo basi inaboresha muonekano wa bafuni/chooni kwa hadhi inayokid...
takeer.com
@max1_limited
LED mirror 🪞 inakupa mwanga unaoufanya uso wako uonekane katika uhalisia wake, hivyo basi inaboresha muonekano wa bafuni/chooni kwa hadhi inayokidhi matarajio ya kila mtu. Inasaidia pia kuhakikisha bafu/choo kinakuwa na muonekano nadhifu na wa kuvutia.

Usisite kututembelea kwenye showroom yetu iliyopo Kariakoo, Gerezani mtaa wa Kiungani na Congo. Pia, tunatoa huduma ya usafirishaji 🚚 popote ulipo kwa gharama nafuu, na ndani ya Dar es Salaam ni bure kwa ununuzi wa bidhaa kadhaa.

Tupigie au tutumie ujumbe kupitia WhatsApp kwa namba 0658 313 332 au 0628 552 442.

Follow akaunt yetu @max1_limited @max1_limited.
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com