takeer.com

Takeer

Play
Mute
takeer.com
@mr_halfsuits
MAPEMBELO CARGO WANA MCHANGO MKUBWA SANA KATIKA MAFANIKIO YANGU YA KIBIASHARA @mr_halfsuits

“Biashara haikosi changamoto, Kwasasa Mfalme wa Bahari @mapembelocargo_tz Mnawahisha mizigo lakini ni uhakika mnaweza kuwahisha zaidi ya hapa kwa maana uwezo mnao” Huu ni ushauri mahsusi kutoka kwa @mr_halfsuits

Sisi Mapembelo Cargo hatuna budi kuupokea Ushauri huu kwa Mikono miwili kwani Nia na Malengo yetu ni kuhakikisha wewe mteja wetu unazidi kufurahia huduma zetu na kuweza kutimiza malengo yako.

Wewe ni familia ni lazima tuhakikishe huduma zetu zinakuwa bora zaidi na zaidi. Kama bado hujasafirisha na #mfalmewabahari basi leo iwe mwanzo wa safari yako ya mafanikio kwa kuanza kusafirisha bidhaa zako na kampuni Bora Tanzania

KARIBU MAPEMBELO CARGO , WEWE NI FAMILIA

#kingoftheocean #jitambekilakona #daresalaam
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com