@mebo_homeappliances
Tunatuma mizigo mikoa yote kwa uwaminifu mkubwa sana.
Lakini pia tunazingatia sana muda kwa kuhakikisha mizigo ya wateja wetu inafika kwa wakati na ikiwa salama kabisa.
Bidhaa zetu zote zina warranty ya kuanzia miaka miwili hadi miaka kumi. ๐
Karibu sana mebo home appliances tukuoneshe thamani ya pesa yako ๐ค๐