@dotcommachinery
๐ ๐๐๐๐ก๐๐๐ก๐จ๐ข ๐ช๐ ๐๐๐๐ฆ๐๐๐ฅ๐ ๐๐๐ ๐๐ช๐ ๐๐๐๐ ๐ ๐๐ฆ๐๐๐ก๐ ๐จ๐ก๐๐ญ๐ข๐ญ๐๐ข๐ก๐ ๐๐๐ฃ๐ข ๐๐จ๐จ:-
Tufanye umepata sehemu ya kuanzisha biashara hii fanya umepata eneo zuri la biashara na umelikodi eneo kwa laki nne kwa mwezi na ukanunua seti hii ya tyre kwa TSH 10,500,000/=
Kwa kawaida biashara kama hii ya tyre service ina ina bei elekezi kulingana na sehemu husika.
๐ช๐ต๐ฒ๐ฒ๐น ๐๐ฎ๐น๐ฎ๐ป๐ฐ๐ฒ
Mashine hii bei elekezi katika vituo vingi vya tyre service kufanya balance kwa tyre moja ni 10,000 au sehemu nyingine kwenye ushindani wanafanya 7,000tsh tufanye kwako wewe unaweka bei nafuu kabisa ya 5000tsh tu kwa wateja wako, kwa hyo kufanya balance tairi nne utapata elfu 20000 fanya siku nzima umefanya gari nne tu yaani tairi 8 ambayo kwa siku itakupa elfu 40000 so kwa mwezi inakuwa umepata 1,200,000 kwa mshine hii moja.
๐ง๐๐ฟ๐ฒ ๐๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฒ๐ฟ
Hii huduma sehemu zetu za kawaida kabisa tunabadilisha kwa tairi moja ni elfu 3000 kwa siku ukibadilisha tyre 6 tu ni elfu 18000 tujaalie kwa mwezi mzima ukafanya kwa makadirio ya chini kabisa utapata 540,000/=
๐ฃ๐ฎ๐ป๐ฐ๐ต๐ฎ
kuziba pancha kwa tyre moja ni elfu 3000 tujaalie umezipa tyre 6 kwa siku ambayo ni elfu 12000 hii huduma kwa mwezi itakupatia 350000 kama utafanya kwa idadi hyo ndogo ya siku.
๐๐ฎ๐๐ฒ๐ฟ ๐๐ต๐ฒ๐ฒ๐น ๐ฎ๐น๐ถ๐ด๐ป๐บ๐ฒ๐ป๐
kufanya hii aligment kwa gari moja bei ya kawaida ni elfu 20000 lakini ww fanya kwa elfu 10 tu kwa gari fanya umefanya huduma hii kwa siku umefanya mara 3 yaani gari tatu jumla ni 30,000 kumbuka unafuu wa bei ndio kunawavutia wateja wengi hii huduma kwa mwezi mzima fanya umefanya kwa uchache kabisa unapata laki 900,000/=
๐๐ถ๐ฟ ๐๐ผ๐บ๐ฝ๐ฟ๐ฒ๐๐๐ผ๐ฟ
Hii mashine ya kujaza upepo tyre ambayo kwa sehemu zetu za kawaida kabisa tunajaza tyre moja kwa 500 ukijaza tyre zako 4 ni sawa na elfu 2000 fanya umejaza tyre 10 kwa siku ambazo ni sawa na elfu 20,000 usiweke makadirio makubwa weka hata elfu 10,000 tu makadirio kwa mwezi unapata 300,000/=
Jumla ya biashara hii kwa mwezi kwa mashine zote hizo makadirio ya chini ni ๐ฏ,๐ฒ๐ฌ๐ฌ,๐ฌ๐ฌ๐ฌ ukitoa Gharama zote kwa mwezi ambazo tuseme ni 1.4m(kodi/service/mishahara,nk) unabaki na ๐ณ๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ฎ ๐ป๐ฒ๐ ๐ป๐ถ ๐ฎ,๐ฏ๐ฌ๐ฌ,๐ฌ๐ฌ๐ฌ/= kwa mwezi