@mama_tuku_store
Moja Ya Biashara Zinasofanya Vizuri Sana Ni Hii Hapa Ya Nguo Za Ndani Ambayo Huwezi Kusikia Ikitajwa Sana Ila Ina Uhakika Mkubwa Sana Wa Wateja Wanaonunua ( Sio Wanaoulizia Tu) Na Inakua Nzuri Zaidi Pale Unapopota Za Hadhi Kubwa Kwa Gharama Kubwa Uta Enjoy Sana.
Unachotakiwa Tu Nikujua Kwa Usahihi Chimbo La Nguo Za Ndani Kwa Gharama Nafuu Sana. Leo Nimekupa Chimbo La Nguo Za Ndani Kwa Bei Za Jumla Lakini Pia Kwa Yule Atakayetaka Kuanzisha Kwa Ajili Ya Biashara Basi Muuzaji Atakupa Muongozo Sahihi Wa Namna Yakuongoza Biashara Hii.
UNAHITAJI CHIMBO LA BIDHAA GANI KWA BEI ZA JUMLA? NIANDIKIE KATIKA COMMENT HAPO CHINI CHIMBO UNALOTAKA.