@dotcommachinery
๐ ๐๐๐๐ก๐๐๐ก๐จ๐ข ๐ช๐ ๐๐๐๐ฆ๐๐๐ฅ๐ ๐๐๐ ๐จ๐๐ข ๐๐๐ฉ๐:-โฃโฃ
โTufanye umepata sehemu yakuanzisha biashara hii fanya umeikodi eneo kwa laki mbili kwa mwezi na ukanunua seti hii kwa TSH 1,200,000/= โขKwa kawaida biashara hii ya kuosha gari ni elfu 10 au 15 au 20 mpaka 25 kulingana na gari au eneo ulipo na kuosha pikipiki 2000 au 3000 na pia unaweza kuosha macarpet,zulia na masofa nkโฃโฃโฃโฃโฃ
Tuache yote hayo jst tupige hesabu ya kimoja tu tufanye kwa siku moja umeosha gari kumi tu na kila gari umeiosha ipasavyo kwa kima cha chini kabisa ni TSH 5,000 tu so 5,000ร10 gari utazoosha kwa siku jumla ya pesa utakayopata ni 50,000 na kwa mwezi(siku26) ukiondoa jpili ni TSH 1,300,000 ukitoa gharama zote(kodi,mishahara,umeme/petrol,posho,service,nk) tuseme gharama zote ni 500,000 basi unabiki na ๐๐๐๐๐ ๐ก๐๐ง 800,000/= kila mwezi na kwa miezi sita tu 4,800,000/= je kwa mwaka mmoja unakuwa umepata kiasi gani???
โขJibu kwenye comments tafadhali๐โฃโฃโฃโฃโฃ
โฃโWengine watasoma na watacomment negative ili kuvunja watu moyo ila kikubwa kwenye kazi yoyote ni usimamizi,uangalizi,ubunifu na mapenzi yakweli ya kazi yako unayofanya na mambo yatakuwa mazuri tu na usikubali kurudishwa nyuma na maneno ya watu.โฃโฃโฃโฃโฃ
โHebu nambieni kweli kujiajiri au kuajiriwa ipi bora na ipi itakupa maendeleo?โฃโฃโฃโฃโฃ
โKumtumikia mtu kama wewe na kulipwa kwa mwezi au kujitumikia mwenye na kujiajiri mwenyewe nakujua faida yako na hasara yako ipi bora?โฃโฃโฃโฃโฃ
โUkijiajiri au ukiajiriwa ipi itakulipa zaidi kwa maisha ya leoโฃโฃโฃ?โฃโฃ
๐ฅTAFAKARI CHUKUA HATUA BADO HUJACHELEWA๐ฅโฃโฃ
โฃ
โ
MIKOANI KOTE TUNATUMA KWA UHAKIKA NA USALAMA ๐โฃโฃ
Call / Whatsapp 0679 121 111
www.dotcomachinery.co.tz
______________________________________________________
Junction of Morogoro road & India street,