@kitengo1_hardware
✋nakusalimu ewe bos wangu katika ujenzi
🔨Hizi ni faiber neti maalumu Kwa madirisha yako
Yawe ya alluminium au Kwa monkey wire
💡 Ni nzuri Kwa kuwa zinapenyeza mwanga kirahis
Ili kuweka ndani kwako kuwa na mwanga wa
Kutosha
🌺Huvutia Zaid Kwa madirisha hasaa ukizibana Kwa
Vipande vya mbao( papi) Kwa wale hawaweki
alluminium
💰hii bei ni offer mpaka 26/December, kwani sokoni
Ni Zaid ya hii bei ya 4f tsh 38000 na 5f tsh 49000
🚛Usafiri ni Kwa gharama hii ya bidhaa, dar na Pwani
🤳 Tupigie 0733700337 au what up no 0756238922