@kitengo1_hardware
Tunaendelea kuwahudumia bos wangu
Tunaendelea kuboresha mazingira wezeshi
Kukufikia Tanzania nzima bila kukukwaza bos
Tunaendelea kufanya bei wezeshi ili wewe mwenye
Duka lako upate Kwa bei nafuu yenye kukupa faida zaid
Tunaendelea kuboresha huduma ya usafiri Kwa kuongeza magari na njia nyingine za usafiri kukufikishia
Mzigo wako bila hata kuchelewa
Tunaomba muendelee kushiriki na sisi Kila hatua
DAR es salaam na pwani tunakufikishia mzigo wako
Mikoani tunakufikisha Kwa wakala usafirishaji buree
0733700337