@crbagro_incubators_cages
Tunazo mashine imara kwa ajili yakupukuchua mahindi zakutumia umeme pia zakutumia Engine mafuta kama unavyojionea pichani,uwezo wakupukuchua tonne1 kwa saa moja zipo pia kubwa tonne2 kwa saa moja na nyingine kubwa zaidi kwa zipo gharama zetu ni rafiki sana,kwa maelekezo zaidi unaweza endelea wasiliana nasi,
Huduma kwa wateja
+255658972488