@crbagro_incubators_cages
Tunazo mashine imara kwa ajili yakuchakata majani ili kuhimarisha umen'genywaji wa chakula kwa wanyama na faida nyingne nyingi mashine hizi pia zinaweza kusaga nakupalaza nafaka mbalimbali kwa ajili ya vyakula vya mifugo kwa wanyama wote, (N'gombe,mbuzi,kondoo,kuku,Nguruwe etc) heavy duty kwa gharama nafuu kabisa kwa mawasiliano zaidi unaweza wasiliana nasi +255658972488