@crbagro_incubators_cages
Tunazo mashine imara kwa ajili yakutengeneza chakula cha punjepunje kwa ajili ya kuku, Mbuzi,N'gombe,Nguruwe na samaki tunawakaribisha wajasiriamali na wafugaji mbalimbali nchini kuchangamkia fursa hii zipo zakutumia umeme wa Singlephase pia zpo zakutumia umeme wa Threephase kwa maelekezo zaidi endelea kuwasiliana nasi huduma kwa wateja +255658972488
#enterpreneur #chicken #animalhusbandry #kilimo #investment #livestock #mifugo #uwekezaji