takeer.com

Takeer

Takeer - HABARI NJEMA KWENU WATANZANIA.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ› ๏ธ๐Ÿ› ๏ธ

Tumewaletea mashine ya kusaga mahindi size: 50 (50HM) na Mashine ya Kukoboa Mahindi aina ya Roller 2 ...
takeer.com
@samai_machinery
HABARI NJEMA KWENU WATANZANIA.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ› ๏ธ๐Ÿ› ๏ธ

Tumewaletea mashine ya kusaga mahindi size: 50 (50HM) na Mashine ya Kukoboa Mahindi aina ya Roller 2 ( 2RD ).

ZIFUATAZO NI GHARAMA KATIKA UMILIKI WAKE.

MASHINE YA KUSAGA MAHINDI
SIZE: 50HM
BATI: 6mm, Housing 2mm.
UWEZO: 300/500Kg/Saa
Motor 25Hp : 1,300,000.
RELI: 300,000.
KINU: 1,200,000.
Jumla @ 2,800,000.

MASHINE YA KUKOBOA MAHINDI
AINA: ROLLER 2
BATI: 2mm, ANGLE 6mm.
UWEZO: 300/500Kg/Saa
Motor 20Hp : 1,200,000.
RELI: 300,000.
KINU: 1,200,000.
JUMLA @ 2,700,000

โ˜Ž๏ธ| SIMU/WHATSAPP: +255746498349
๐Ÿ“|SEHEMU: TABATA DAMPO, DAR ES SALAAM.

FAIDA ZA MASHINE HIZI?
1. Aina hii ya mashine hutumika maeneo ya vijijini au mjini kwaajili ya kuhudumia jamii yenye uhitaji mdogo ( Yaani wale wanaokuja na visado, ndoo ama vipeto )

2. Aina hii ya mashine sio kwaajili ya uzalishaji wa sembe kwa kiasi kikubwa kwani uzalashiji wake ni mdogo sana. ( Ton 2 ) kwa siku.

3. Aina hii ya mashine ulaji wake wa umeme ni mdogo sana kulinga na kazi inayoenda kufanya kwani unaweza tumia umeme wa elfu kumi kwa siku.

4. Aina hii ya mashine ni yenye gharama nafuu katika umiliki wake na zilizoundwa na matilio magumu na imara sana.

PAMOJA TUJENGE VIWANDA VYETU ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ› ๏ธ.

#dar #pwani #kibaha #bagamoyo #kibaha #chalinze #mikumi #morogoro #iringampya #makambako #mafinga #njombe #mbeya #songwe #songea #chunya #lindi #mtwara #nagurukuru #masasฤฑ #dodoma #gairo #mwanzamwanza #mwanzacity #geita #musoma #sumbawanga #arushatanzania #tabora #ikulumawasiliano
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play