@crbagro_incubators_cages
Endelea kufurahia chicken cages (A-type)Bidhaa imara kwa ajili yakufugia kuku wa mayai kutoka kwetu kwa gharama nafuu,tunazo zenye ngazi tatu pia tunazo zenye ngazi nne kulingana na vipimo vya banda lako na idadi yako ya kuku ulionao zinadumu zaidi ya miaka15 kwa maelekezo zaidi endelea kuwasiliana nasi,
huduma kwa wateja,
+255658972488