@crbagro_incubators_cages
Kwa wale wafugaji wa kuku wa mayai tunapenda kuwahakikishia kuwahudumia na cage zenye ubora mkubwa sana kwa gharama nafuu kabisa tunazo cage tofautitofauti kulingana na quality yani ubora (Hotgalvanized40year) (Coldgalvanized15years) na idadi ya kuku unao wafuga bei kulingana na quality utakayopendelea chaguo ni lako, zipo cages za A type pia zpo cages za H type cages kwa ajili ya kuku wako wa mayai ili kufahamu ni aina gani ya cage unahitaji wasiliana nasi huduma kwa wateja tushauriane +255658972488