@kitengo1_hardware
Nylon nyeusi kg 25 na 50kg
💪 Nzito (1000gage) made in Kenya
☝️Inatumika kama kuzuia maji hasaa sehemu
Yenye chemumchem wakati wa ujenzi
✌️Kwenye perving kuzuia kuota majani
🤟Kufunika vitu mbalimbali dhidi ya jua au
mvua
📏 25kg makadirio ya 60m mpaka 75m,
Upana ni 4fut
🚛Tunakuletea dar es salaam na Pwani
Mkoani Kwa wakala usafirishaji
0756238922/ 0733700337