@crbagro_incubators_cages
Tunazo Complete feed Production line kwa ajili wawekezaji wa miradi ya uzalishaji wa chakula kwa ajili ya mifugo (viwanda) Marsh,pellet etc mfumo mzma kuanzia kwnye production mpaka parking pichani ni mashine ya tonne3 kwa saa gharama ni usd72,000 mpka kkufungia Site popote ulipo Tanzania ,Tunawakaribisha wawekezaji mbalimbali nchini kuchangamkia fursa hii kwa maelekezo zaidi endelea kuwasiliana nasi +255658972488