@crbagro_incubators_cages
Tunawakumbusha wajasiriamali ,Tunazo mashine imara sana kwa ajili yakutengeneza vyakula vya punjepunje kwa ajili ya mifugo kuku,samaki chakula cha kuzama pia kwa ajili ya chakula chakuelea pia zipo,Nguruwe,Mbwa,Mbuzi,N'gombe,Kondoo etc zipo kwa size tofautitofauti kuanzia ndogo za singlephase mpaka kubwa na zaidi kwa wale wenye kuhitaji Animal feed productionline viwanda tunawakaribisha sana kwa maelekezo zaidi wasiliana nasi +255658972488 au fika ofisini kwetu Dar es salaam Tanzania Ubungo simu2000 stand Road opposite Sos children Orphaneage gate utaona Bangor letu kubwa (CRBAGRO) tumepakana na quarter za Tanesco karibuni sana kwa ushauri na maelekezo zaidi +255658972488