@kitengo1_hardware
Ubora wa saruji huwa ni
Ratio 42.5 r, 42.5n na 32
Bila kujali kampuni zingatia
Rangi " iwe ni ya kijivu haswaa
Tumbukiza kias kwenye maji " ikielea baada ya muda
Ndo uzame hiyo ni Bora
Tarehe ya uzalishaji" tangu izalishwe isizidi siku 90
Hiyo ni Bora
Wataalamu wanashauri " utumie ratio 42.5 r Kwa zege
Na 32 iwe kwenye kazi nyepes kama plaster
Karibu tukuhudumie 0756238922
Offer tsh 16000 tu 42.5r na 32 tsh 15000