@samai_machinery
Hello Tanzania ๐น๐ฟ Hello Africa ๐
SAMAI_AGRO Tumekuletea mashine ya umeme ya Kufyatua Tofali za Block ๐งฑ๐งฑ ( VIBRATOR BLOCK MACHINE ) Pamoja na Mashine ya kuchanganya saruji ( CEMENT ) na mchanga ( MIXER MACHINE ).
โ๏ธMASHINE YA UMEME YA KUFYATUA TOFALI. (VIBRATOR BLOCK MACHINE)
Uwezo: Tofali 2000+ ( Kwa Siku )
Nguvu ya mota: 4Hp
Bei: 3,000,000.
N:B. Unachagua Mould Moja kati ya hizi; inch 4,5 au 6 ) Na bei ya Mould nyinine ni: 400,000.
โ๏ธMASHINE YA KUCHANGANYA SARUJI NA MCHANGA.(MIXER)
UWEZO: MFUKO MMOJA WA SARUJI ( CEMENT )
KIPENYO: FUTI 5
UREFU WA MASHINE: 4.5 FUTI.
PLATE: 8mm (chini), 6mm (Juu)
NGUVU YA MOTA: 10HP
BEI : 5,000,000.
๐|SIMU/ WHATSAPP: 0746498349
๐|SEHEMU: TABATA DAMPO, DSM
KWANINI SAMAI AGRO MACHINERY?? โฌ๏ธโฌ๏ธโฌ๏ธ
1. UBORA; Watu wengi wamekua wakilalamika mashine zao kukata tofali, Tofali kutoshindiliwa vizuri hii ni kutokana na mould ( BOX ) kutokua na uimara na kupeleka box kupinda na kuleta tofali kutoa kua imara, hii ni tofauti kubwa sana.
Mixer; Kutokana na mchanganyiko wa saruji na mchanga hupeleka plate za mashine kulika hivyo uimara wa plate kutoka kwetu imepelekea mixer za wateja wetu kuduma kwa muda mrefu zaidi.
2. UFANISI; Kutokana na Ubora wa mashine tajwa juu hupelekea uzalishaji wa kasi kwenye uzalishaji wa tofali kwa siku. ( 2000+ )
3. GHARAMA NA UZALISHAJI; Mashine hizi hutumia gharama nafuu za umeme kwani mota zote mbili zikiwaka hupelekea wastaani wa shilingi 3600 kwa saa.
4. UPEKEE WA HII MASHINE; Aina hii ya mashine ya kufyatulia humpelekea mzalishaji kutengeneza aina mbalimbali za Tofali za block na pavings kulingana na soko alilolenga. Hapa Mzalishaji atakua anabadili Mould ( Box ) kutoka kwenye mashine kwaajili ya uzalishaji maalum.
N:B; MASHINE NI MOJA LAKINI BOX TOFAUTI.
PAMOJA TUJENGE VIWANDA VYETU ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐๐พ
#dar #pwani #bagamoyo #kibaha #kiluvya #kiluvyamadukani #chalinze #morogoro #arushatanzania #dodoma #mikumi #kitonga #pangani #mkata #iringampya #njombe #makambako #mafinga #mbeya #songea #ruvuma #geita #mtwara #lindi #shinyanga #kahama #mwanzamwanza