takeer.com

Takeer

Play
Mute
takeer.com
@mabati_bomba_tz
KWANINI UNUNUE MABATI KWETU?

1.UBORA

Ubora wa bati zetu ni wa hali ya juu kwani hukaa kwa muda mrefu sana bila kupauka, kupata kutu wala kutoboka. mabati yetu yamethibitishwa na TBS na kama hiyo haitosha tunakupa guarantee ya miaka kumi🙌

2.UTAPATA ELIMU KUHUSU BATI BURE

Kabla hujanunua tunahakikisha tunakupa elimu kuhusu mabati bure na kisha wewe utafanya maamuzi ya kununua

3.UTAWEZA KU SAVE PESA YAKO KWASABABU YA OFFER ZETU NYINGI

Kwanza utajipatia mabati kwa BEI YA KIWANDANI, pili utasafirishiwa BURE mpaka mahali popote ulipo Tanzania na tatu kuna offer ya misumari bure, je umeshafikiria uta save pesa yako kiasi gani kwa kuamua kununua kutoka kwetu?

4.UAMINIFU NI KIPAUMBELE KWETU NA TUNAWAJALI SANA WATEJA WETU

Mpaka sasa tunajivunia kuwahudumia wateja wengi kwa uaminifu mkubwa na wakafurahia huduma zetu. Unaweza kupitia page hii na kujionea SHUHUDA ZAIDI YA 30 za wateja wetu wakifurahia huduma zetu

5.KWETU UTAPATA BATI AINA NA RANGI MBALIMBALI

Yaani utachagua bati aina unayotaka kulingana na bajeti yako bila kusahau rangi uipendayo kwani tunazo bati rangi mbalimbali.

Hizo ni baadhi ya faida utakazopata, wahi sasa ujipatie bati zetu wakati huu ambao bado OFFER inaendelea kwani offer huwa haidumu milele

Wasiliana nasi kwa namba
0719669488/0745455903.

FOLLOW;
@mabati_bomba_tz
@mabati_bomba_tz
@mabati_bomba_tz @mabati_bomba_tz @mabati_bomba_tz @mabati_bomba_tz
.
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com