@samai_machinery
MASHINE YA KUKOBOA MAHINDI AINA YA ROLLER 4.
AINA/SIZE: ROLLER 4
BATI: 2mm
ANGLE: 6mm
UWEZO: 1000kg/Saa
MOTOR 40Hp:2,000,000.
RELI: 500,000.
KINU: 2,000,000.
JUMLA: 4,500,000.
FAIDA ZA MASHINE HII. ⬇️⬇️⬇️
1. Aina hii ya mashine hutumika kwenye uzalishaji wa kiasi kikubwa kuanzia 8-10 kwa siku.
2.. Aina hii ya Mashine hufaa kwa wale wanao fanya biashara ya kuzalisha sembe/dona kuanzia 8ton - 10ton kwa siku hivyo hupelekea ongezeko la bidhaa sokoni.
3. Aina hii ya mashine ni yenye uchakataji bora zaidi katika biashara ya sembe na kuoa na sembe safi sokoni hivyo kupokelewa vizuri sokoni kwa bidhaa yako.
4. Aina hii ya mashine ni yenye gharama nafuu katika uendeshaji kwani hutumia matumizi madogo ya umeme katika uzalishaji. ( Makadili ya shilingi elfu kumi na moja kwa saa moja mashine ikiwa imewaka )
📞|SIMU/WHATSAPP: +255746498349
📍| SEHEMU: TABATA DAMPO, DSM
#dar #mbezi #bagamoyo #manzese #manzese_tiptop #kibaha #morogoro #morogorotown #mikumi #dodoma #dodomacity #iringampya #njombe #mafinga #mbeya #mbeyacity #makambako #songea #lindi #mtwara #masası #tabora #kaliua #musoma #musomatown #geita #mara #shinyanga #kahama #pangani