takeer.com

Takeer

Takeer - Wapendwa Wateja, 

Tunapenda kuwataarifu kuwa Biashara yetu itakuwa imefungwa kuanzia Jumatatu 08 Julai 2024 hadi Jumanne 16 Julai 2024 kwa ajili y...
takeer.com
@jivajee_hardware
Wapendwa Wateja,

Tunapenda kuwataarifu kuwa Biashara yetu itakuwa imefungwa kuanzia Jumatatu 08 Julai 2024 hadi Jumanne 16 Julai 2024 kwa ajili ya Ibada kwenye siku za MOHARRAM;
IMAM HUSSAIN A.S
(Mjukuu wa Mtume Mohamed SAW)

Tutaendelea na shughuli za kawaida kuanzia Jumatano 17 Julai 2024.

Kwa muda huo wote hatutakuwa na mawasiliano ya aina yoyote.

Tunawashukuru sana kwa ushirikiano wenu na tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.

JIVAJEE HARDWARE
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play