@crbagro_incubators_cages
Karibuni sana watanzania na Africa kiujumla tunazo mashine imara sana kwa ajili yakuchakata majani nakusaga nafaka mbalimbali kwa ajili ya vyakula vya mifugo kama,N'gombe,mbuzi,kuku,Nguruwe etc, jeh! Unafahamu umuhimu wakuchakata majani?, hurahisisha umen'genywaji wa chakula hivo husaidia kuimarisha uzalishaji kwa wanyama kama vile N'gombe na wengineo kwa maelekezo na mawasiliano zaidi endelea kuwasiliana nasi,
Huduma kwa wateja
+255658972488