@crbagro_incubators_cages
Tunazo mashine imara kwa ajili yakuchakata majani ili kuhimarisha umen'genywaji wa chakula kwa wanyama na faida nyingne nyingi zinazoweza kuwasaidia wanyama unapo chakata majani mashine hizi pia zinaweza kusaga nafaka mbalimbali na majani katika saizi unayotaka nakupalaza nafaka zote kwa ajili ya vyakula vya mifugo kwa wanyama wote, (N'gombe,mbuzi,kondoo,kuku,Nguruwe etc) heavy duty zipo zinazotumia engine na zipo zinazotumia umeme chaguo ni lako kwa gharama nafuu kabisa wasiliana nasi +255658972488