@crbagro_incubators_cages
Tunazo incubator imara fully Automatic zinageuza mayai zenyewe zakutumia Solar,Umeme na betri Ac&Dc warranty 1year zaidi zinaweza kuhifadhi joto masaa 12 panapokuwa hakuna chanzo chochote cha umeme tunawakaribisha wafugaji na wajasiriamali mbalimbali nchini kuchangamkia fursa hii gharama zetu ni nafuu kabisa unaweza wasiliana nasi kwa mahitaji ya bidhaa zetu hizi kwa wakazi wa Dar es salaam delivery ni free mikoani kote tunatuma kwa gharama za mteja kwa uaminifu
Huduma kwa wateja
+255658972488