@phenomenal.jewelry_store
Tunapenda kuchukua nafasi hii kwanza Kumshukuru Mungu wetu mkuu kwa Baraka nyingine tena, Pili tunawashukuru wateja wetu wote kwa all the support mnayotupa kwani bila ninyi hakuna @phenomenal.jewelry_store
Leo tunayofuraha kutambulisha kwenu Duka letu lingine linalopatikana Kariakoo Mtaa wa Congo & Pemba street.
Ni matumaini yetu mtatupokea vizuri na kuendelea kufurahia huduma na bidhaa zetu siku zote.
Kwa mawasiliano:
☎️ Tupigie: 0711614063 (Branch ya Kariakoo)
☎️ Tupigie: 0655284101 (Branch ya Mawasiliano)
Whatsapp: 0655284101
KARIBUNI SANA SANA SANA.