@koreanbeauty_tz
YALIYOJILI SABASABA ..TUNAPENDA KUISHUKURU KOREAN EMBASSY IN TANZANIA KWA NAFASI NZURI YA KUITANGAZA KOREA NA SKINCARE PRODUCTS TUNAZOUZA.
ILIKUWA EXPERIENCE NZURI KWETU KOREANBEAUTY..
TUMEJIFUNZA MENGI..TUNAAMINI MAONYESHO MENGINE YAJAYO TUTAFANYA VIZURI KWA UBUNIFU MKUBWA ZAIDI.
KOREAN BEAUTY TEAM TUMEMALIZA RASMI MAONYESHO YETU LEO JUMAPILI..KUANZIA JUAMATATI TUTAKUWA WOTE OFISI..KARIBUNI SANA.
KAMSAHAMNIDA 🇰🇷.🇹🇿