@bedding_by_dk
Habari wapenzi WATEJA wetu wa @bedding_by_dk hii ni njia rahisi yakufika Dukani kwetu kama unatumia Uber/Bolt andika DK Home Decor utafika moja kwa moja Dukani ,. Kama una usafiri Binafsi utaenda Google Map andika DK Home Decor utafika moja kwa moja
Ukifika Mwenge Police utaona Jengo limeandikwa KIKI AFRICA tupo floor ya kwanza Duka number C 16
Kwa msaada wa haraka unapokwama Tupigie 0713704204
Tunawapenda sana โค๏ธ๐ Nyinyi niwa DHAMANI SANA kwetu Mwenyezi Mungu akazidi kuwainua kwaajili yetu โค๏ธ