takeer.com

Takeer

Play
Mute
takeer.com
@crbagro_incubators_cages
Tunayo faraja kubwa kuwahabarisha wajasiriamali na wawekezaji mbalimbali wa kuku wa mayai kuwa tunazo cages hizi ambazo ni full automated kuanzia ukusanyaji wa mayai,ukusanyaji wa kinyesi,ukusanyaji wa mbolea kwa gharama nafuu kabisa, cage hizi ni nzuri hasa kwa wafugaji wanaofuga kuanzia kuku 20,000 wa mayai etc kwa maelekezo zaidi juu ya cage hizi wasiliana nasi +255658972488 tupigie tushauriane kuhusu ufugaji fahamu ya kwamba kila stage ya ufugaji wa kuku ina aina yake ya cages unazo takiwa kutumia kama unafuga kuku usikurupuke karibu @crbagro_incubators_cages
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play