@crbagro_incubators_cages
Tunayo faraja kubwa kushuhudia Watanzania mbalimbali nchini wakiendelea kunufaika na bidhaa zetu mbalimbali pichani ni mashine ya Pellet maalumu kwa kutengenezea chakula cha punjepunje kwa ajili ya kuku na samaki endelea kupata elimu juu ya matumizi yake kwa kuangalia kipande hichi cha video kwa maelekezo na mahitaji ya mashine hii wasiliana nasi huduma kwa wateja
+255658972488