takeer.com

Takeer

Takeer - Wakati mwingine inatupasa kunyenyekea mbele za Mungu na kusema Asantee baba ulionipitisha yamenijenga na kunikuza yamenifanya kuwa kiumbe kingine k...
takeer.com
@machinga_wakichaga
Wakati mwingine inatupasa kunyenyekea mbele za Mungu na kusema Asantee baba ulionipitisha yamenijenga na kunikuza yamenifanya kuwa kiumbe kingine kabisa. Na ujisemee moyoni "sifa na utukufu ni kwako Mungu"
Maana yamkin usingeumwa usingejua kuna kanisa wala msikitin.
Yamkin usingedharaulika usingetafuta kwa jasho.
Yamkin usingekuwa maskini usingejua kuishi na watu
Yaan kila kitu kina kuja kwa sababu na kila linalokupata kina faida sio kila tatzo lina hasara mengine yanakuja kutukumbusha nakutuweka mahala salama zaid ya mwanzo
#sifanaUtukufunikwakaoMunguWetu
#HAPPYSUNDAY
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com