@magari_sokoni_tz
SHUKRANI ZETU ZA DHATI ZIENDE KWA WOTE WALIOTUPIGIA KURA NA PIA WAANDAAJI WA TUZO ZA #BUSINESSAWARDS. TUZO HII INA MAANA KUBWA SANA KWETU TUNAAHIDI KUENDELEA KUWAPA HUDUMA NZURI NA BORA ZENYE HADHI YA NYOTA TANO, AHSANTENI๐๐พ.
SI MWINGINE TENA NI YULE BIIINGWAAA๐ฅ๐ฅ๐ฅ.