@malkia_quality_products
Namshukuru sana Mungu kwa zawadi ya uhai,afya njema na baraka tele kwangu mm na familia yangu..
Namshukuru sana mume wangu kipenzi @kisanga_quality_electronics @kisanga_quality_electronics @kisanga_quality_electronics ww ni wapekee nakupenda,nakuheshimu mume wangu Mwenyezi Mungu akulinde kwa ajili yangu asante kwa zawadi ya gari umehusle as man to make me happy am so proud of you mume….nakuombea spirit yako yakazi isipungue na uzidi kusimama kwenye nafasi yako kama kichwa cha familia…mm na wanao tunakupenda na tunamshukuru Mungu kwakutupa ww kama kiongozi wetu be blessed mume.
Harrier new model Hybrid(Anaconda)for the queen
Ni Yesu tu
My beautiful car by @faharimotors Mwenyezi Mungu awalinde na nashukuru sana gari zuri classic Lord bless you…my customers ukitaka kuagiza gari I highly recommend @faharimotors kwanza ni waaminifu alafu wana the best customer service in the whole world na wanajua kumvulia mteja in short ni wastaarabu gari zao ni nzuri kama mnavyoiona yangu ni 🔥🔥🔥🔥 @faharimotors shikamooh
Photos by the one and only team nzima yan ni 🔥🔥🔥they are the ones behind all my beautiful contents haki @raeno_lens @dez_art_1 @4designsstudios vijana mnajua mpaka mnajua tena wateja wangu naomba muwape kazi haki hamtajutia trust me wanajitoa sana kuhakikisha mteja anapata kitu perfect.
My beautiful dress by @secky_land_of_fashions my sis huyu ndio anajua kunipatia kwanzia Engagement,Send off mpaka harusi Nguo zote nilinunua kwake na nikitaka kwenda kwenye shughuli huwa nachukua kwa huyu mrembo my beautiful sis @secky_land_of_fashions they are the best.
My world most beautiful Make-up by msukuma wa make up @jesca_beautyzone ni hatari mama umeua ni balaa thank you baby umejua kunipendezesha shogaa kila mtu ananishangaa umebarikiwa shoga.
Car decor and beautiful flowers by @keon_flowers ni hatari mbarikiwe mno I love everything shikamooh @keon_flowers Mungu awafikishe viwango vya juu zaidi
Shoes by @levillastore I love the shoes haki beautiful and reasonable price