@malkia_quality_products
Ma bibi harusi wote mnaoagiza kabisa mnunuliwe zawadi zenu dukani kwetu jamani mbarikiwe sana sana sana
Namuomba Mungu ndoa zenu zikawe za mafanikio mkadumu sana Mungu wa mbinguni awapiganie wateja wangu mbarikiwe sana sana na mjue tu kuwa nawapenda sana sana na bila nyie sina maisha.
Boss wangu uuliyenitolea feedback nzuri ubarikiwe sana sana kipenzi…Boss wangu ni Teacher wa English na kiswahili nimempenda mno mchangamfu mno….Mwenyezi Mungu akubariki sana sana….
My favourite customers mkihitaji zawadi za bibi harusi jamani jamani karibuni sana sana…..mtapata vitu vzr kwa bei nafuu na vingi yan mnaonekana mmetoa mapesa menhi kumbe pesa kidogo bidhaa nzuri na zakutosha