@jonas_beauty_cosmetics
HEALTHY GLOW SENSITIVE SKIN LOTION
👨🦯Kwa wanaopenda ngozi zenye afya
👨🦯Kazi yake kubwa ni kujaza ngozi...hata mishipa ya kijani inakua haionekani. Inaondoa michirizi na madoa
👨🦯Kwa wale mliotumia cream kali au wenye ngozi nyepesi kiasili hii sio ya kukosa
👨🦯Ni milk lotion kwahyo inakua na unyevu wa kutosha...hizi milk huwa nzuri kwa wenye ngozi kavu na watu walioanza kuzeeka
👨🦯Ina ipa ngozi unyevu bila kunata kama mafuta ya mgando
👨🦯Inaondoa michiriz aina zote...iwe ya cream, ya asili sjui unene n.k ...matokeo ya awali unayaona mapema ila kupona kabisa inachukua mda kidgo
👨🦯Kuna baadhi ya watu inawang'arisha sana bila serum...kuna wengine mpka watie serum ila ni bora uipake kwanza bila serum ukiona vipi ndo unachukua na serum
Ina spf 30 kwa ajili ya kukukinga na jua
Key ingredient
*Vitamin C
*Niacinamide
Bei 65,000=
Location📍Mbezi Louis Barabara Yakwenda Goba Kituo Ni. (Njia Panda Ya Makabe) Kituon Kabisa.
Call/WhatsApp 0758 492384
Cc: @jonas_beauty_cosmetics