@pendokids
Vaseline Daily Brightening Lotion with VITAMIN B3
Sasa tuone kazi Za VITAMIN B3 kwenye ngozi
šInaipa ngozi yako strenth ya kupambana na irritation yeyote ile
š¹Inapunguza uharibifu wa ngozi kulingana na mazingira mfano jua Kali,,wakati wa baridi,,kipupwe nk
š¹Inapunguza mwonekano wa ngozi kuzeeka ama kukunjamana
š¹
š§£Hii lotion inakupa ungāaavu ndani ya siku saba tu
š§£Ni clinically proven kwa formula ya 10x
š§£Iko Boosted na Panteted vitamin B3
š§£hii lotion ni Powerful antioxidant
š§£Ndani yake ina triple sunscreen itakayosaidia kuprotect ngozi yako ya mwili
š§£Inaoondoa weuzi wa ufubavu kwenye ngozi yako Kwa sababu ya Vitamin B3 iliyowekwa ndani yake
š§£Inakupa Glow nzuri ya skin yaka
š§£Kama umechoka kutumia mafuta makali/Breaching products hii Vaseline sio ya kukosa
š§£Kama una uneven skin tone,Dull skin,Dry skin hii sio ya kukosa
Ujazo: 725ml
Bei: 40,000 tu