takeer.com

Takeer

Takeer - Vaseline Daily Brightening Lotion with VITAMIN B3

Sasa tuone kazi Za VITAMIN B3 kwenye ngozi

šŸ˜‹Inaipa ngozi yako strenth ya kupambana na irritati...
takeer.com
@pendokids
Vaseline Daily Brightening Lotion with VITAMIN B3

Sasa tuone kazi Za VITAMIN B3 kwenye ngozi

šŸ˜‹Inaipa ngozi yako strenth ya kupambana na irritation yeyote ile
🌹Inapunguza uharibifu wa ngozi kulingana na mazingira mfano jua Kali,,wakati wa baridi,,kipupwe nk
🌹Inapunguza mwonekano wa ngozi kuzeeka ama kukunjamana
🌹

🧣Hii lotion inakupa ung’aavu ndani ya siku saba tu
🧣Ni clinically proven kwa formula ya 10x
🧣Iko Boosted na Panteted vitamin B3
🧣hii lotion ni Powerful antioxidant
🧣Ndani yake ina triple sunscreen itakayosaidia kuprotect ngozi yako ya mwili
🧣Inaoondoa weuzi wa ufubavu kwenye ngozi yako Kwa sababu ya Vitamin B3 iliyowekwa ndani yake
🧣Inakupa Glow nzuri ya skin yaka
🧣Kama umechoka kutumia mafuta makali/Breaching products hii Vaseline sio ya kukosa
🧣Kama una uneven skin tone,Dull skin,Dry skin hii sio ya kukosa

Ujazo: 725ml
Bei: 40,000 tu
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com