@syresgadgets
HABARI NDUGU MTEJA; kama ikatokea bidhaa unayo itaka haipo dukani kwetu, Sisi kama @syresgadgets Tutakuagizia Bidhaa hio direct from Dubai na itakufikia kwako kwa muda mfupi sana, Mfano mteja wetu alikuwa anataka the most High end gaming pc, na haikuwa kwenye stock zetu lakin tuliweza kumuagizia na akapata kwa garama nafuu sana.
CORE I9 14th generation ram 128 ssd 2TB RXT 4080 12 GB PRICE 7,400,000/= TU