takeer.com

Takeer

Takeer -  anakwambia Ngozi ya kweli haipo perfect, ina textures, ina pores, inapata chunusi hapa na pale, ila tu kumbuka goal ni kuwa na ngozi yenye afya si...
takeer.com
@koreanbeauty_tz
@koreanbeauty_tz anakwambia Ngozi ya kweli haipo perfect, ina textures, ina pores, inapata chunusi hapa na pale, ila tu kumbuka goal ni kuwa na ngozi yenye afya sio ambayo iko perfect. Na huyu ni mtu anaetoa bidhaa za Korea. Kwenye dunia ambayo wanaouza Products za korea wanatangaza utapata Perfect skin kama za wakorea, she tells you the truth. And such people are the only members we are looking for in TASCA. People that tell the truth. And we want the whole Nation to know them.

Welcom home @koreanbeauty_tz
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com