@syresgadgets
SYRES GADGETS SASA TUMEHAMIA KIJITONYAMA OPPOSITE NA SHISHI FOOD.😋
Habari ndugu mteja wa SYRES GADGETS uongozi wa @syresgadgets unao furaha kukufahamisha ww mdau/mteja wetu kua ofisi zetu sasa tumehamishia kijitonyama block 65 opposite na shishi food 🥘 . Karibuni sana Na Mungu awabariki🙏😄.