@citidistributors
Morning watu wangu wa maana kabisa. Leo nikasema nifanye hii ( French toast ) ya chap chap
Unaweza weka maziwa badala ya maji, me so mpenzi sana wa kuweka maziwa kwenye french toast 🙏🏾
Mahitaji 📌
Mayai
Sukari
Mdalasini wa unga
Vanilla
Maji
Cooking cream
Kwenye yai niliweka
Chumvi
Pilipili manga kidogo