takeer.com

Takeer

Play
Mute
takeer.com
@malkia_quality_products
Malkia quality Dodoma mjini kati kabisa barabara ya 11….

Haki kati ya maduka yangu yote hili ndio my favourite sema kwa ss naliona dogo na hii ni mara yangu ya pili kufika

Ila ss nataka nilipangilie vzr nifungue na new arrivals kuna bidhaa mpya ambazo Dar sijaweka hii ni suprice kwa wateja wa Dodoma maana wanasema nawatenga…

Bidhaa ni nyingi na nzuri mno mno na bei ni sawa na bure hiyo iliyofika no round one mingine nimeomba iende store nyumbani tutatoa kidogo kidogo maana duka limeshakuwa Dogo…

Wateja wangu wa Dodoma dada yenu sijasuka naomba mnielekese salon classic nzuri nataka nifanye installation ya wigi langu nilikuwa na haraka haki sikuweza kutengeneza nywele naomba nidm au tag kwenye comment….

Lastly haki I cant wait kuwaona wateja wangu maana mama malkia anawasifia jamani anasema nyie ni wakarimu,mnajituma ni watu wa upendo tena mnanipenda sana na mnanifatilia sana basi mje tupige umbea vipenzi vyangu niwape maushauri ya biashara na mnunue vitu vzr kwa bei nafuu mkauze mpate mapesa…

Nawapenda mno mno Dodoma Mungu awasimamie wateja wangu wote na Mungu akipenda nitafungua duka kubwa zaidi nimekuja ili nijue ni nn kifanyike mpate huduma bora zaidi nawapenda sana sana.
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play