@zeromoja_
TABLE MATS......Hizi kwa ajili ya kuweka mezani wakati wa kuserve chakula kabla ya kuweka sahani mezani
💥Kwanza kupendezesha mpagilio wa sahani mezani
💥Pili kwa usafi kuzuia vyakula kudondoka mezani
💥Pia kama unatumia table cloths itasaidia isichafuke mtu akidondosha punje za chakula
💥Pia kama hutumii table cloth inazuia michubuko ya meza sahani isisugue meza yako
Kwenye pack zipo mbili(2)... 15,000/=
Free delivery in Dar 💃
Mikoani tunatuma pia
📌Tunapatikana mbezibeach chini Bara Bara ya Mwai Kibaki Karibu na sheli ya Oryx, Opposite Mbezibeach primary school